187 views
Mulembe Baze on Mulembe FM
Aired 1 Sep 2026
0:14
Mwakilishi wa kina mama kaunti ya Bungoma Catherine Wambilianga amewasili Katika kijiji cha Karima wadi ya Mbakalo eneo bunge la Tongareni kukutana na vikundi vya kina mama kutoka wadi ya Mbakalo na Milima.#Amacheni