
491,352 views
7 Apr 2026
“Wewe ni Mungu wa majeshi… ni lipi likushindalo wewe?” This powerful worship anthem by Ali Mukhwana is a bold declaration of God’s sovereignty, reminding us that nothing is impossible for Him. Rooted in faith and reverence, Ni Lipi Likushindalo is a call to trust, surrender, and believe in God’s unmatched power through every season. Let this song minister to you, strengthen your faith, and remind you that victory is found in Him. Stream / Download: https://distrokid.com/hyperfollow/alimukhwana/ni-lipi-likushindalo Like, comment, and share to spread the light of Jesus. Subscribe and turn on notifications so you never miss any music from Ali Mukhwana: https://www.youtube.com/@AliMukhwanaLive?sub_confirmation=1 Credits: Artist: Ali Mukhwana Written by: Ali Mukhwana Produced by: Ruben IdyAkil Agan'solo Directed by: Bwoy P FOR MINISTRY SUPPORT LIPA NA MPESA (BUY GOODS) - TILL NUMBER 9222473 A worship minister on a mission to bring souls to Jesus Christ through music. For bookings contact me through this email alimukhwana@gmail.com or call +254 718 901261 LYRICS Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo ooh Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo ooh Wewe ni Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe… Wewe ni Mungu wa Majeshi, usikie maombi yangu Bwana Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo? Mbingu zayasifu maajabu yako, ni nani akupinge? Mawimbi yakutii kwa ngurumo zako, ni nani akupinge? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Aaaiiii… Mungu wa vizazi na vizazi, Baba… Wewe ni nuru ya ulimwengu, kwa mkono wako tunaushindi Jina lako ni nguvu yetu, na tena ni ngao yetu Mbingu zayasifu maajabu yako, ni nani akupinge? Mawimbi yakutii kwa ngurumo zako, ni nani akupinge? Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe, kwa moyo wangu nimekutafuta Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Wewe ni Mungu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe Tena Mkombozi wa ulimwengu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Tumekuja kusema, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe Uzima wangu, amani yangu, Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo wewe Mungu wa Majeshi, ni lipi likushindalo Mungu wa Majeshi, uzima watoka kwako, ni lipi likushindalo wewe Mungu wa Majeshi, amani yatoka kwako, ni lipi likushindalo Ni lipi likushindalo wewe… Ni lipi likushindalo wewe… Ni lipi likushindalo… Ni lipi likushindalo… © Ali Mukhwana (2026) #AliMukhwana #NiLipiLikushindalo #GospelMusic #Worship #KenyanGospel #NewMusic