
1,831 views
22 Aug 2025
Papi Link is the Role, God is the Actor. "Bado nina Bandana kwa Head" is an Anthem to Inspire, provoke and my personal affirmation to cause a glitch in Reality at whatever I do...Bandana kwa Head siku zote, Stay SwaHipi 🍁 "J ya kwanza before J ya pili Niko in between flights Hii usiwashe kaa unaogopa heights, Dakika 45 hadi Githurai 45 Kichoki nugs zimeshona kwa mbosho mpaka sai Napenda vitu tei inafanya huu peng afanye Kwa maandamano afande alisema "F it" Akalipua kijana kwa kichwa na akaondoka sare Killers wanafollow orders Za other killers sasa kumezoza Ni wewe solo hio vision unaiona si basi uimake tru Huwa nafanya stadium shows up in my room Na move uber Kuna time nilikuwa nachuja Alafu soon si ni Suba.. Roof off time ya mvua uh! Pressure, Pressure inaincrease Hio Aura, Whether unaifeel imeweza Bandana Kwa Head, Bandana Kwa Head, Bandana Kwa... Bado nina Bandana kwa head Bado nina Bandana Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head, Bado nina Bandana, Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head Bado nina Bandana Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head, Bado nina Bandana, Bandana kwa head SwaHipi way Kila kitu nado ni SwaHipi way Evidence iko hapa, ebu check I like my women in the gym heavy weight Balozi imemix kwa tumbo na handas juice But lowkey nakuwa fed hio hunger tu Hunger Dont Call me Papi on some bs, nitahung up Gode imespark up Pocket naget numbers Womens naraise standards Kladi wadrobe jaza Dubai ish Imechosha sai nasaka German Jana nilispazz But anyway today nimeamua kurelax Huwezi nihelp shida zangu zinataka Yesu mwenyewe ashuke Ata angekuwa anaishi sai wangetaka bado akufe So bado navaa Bandana kwa head Banda... Bandana kwa... Bado nina Bandana kwa head Bado nina Bandana Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head, Bado nina Bandana, Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head Bado nina Bandana Bandana kwa head like Bado nina Bandana kwa head, Bado nina Bandana, Bandana kwa head Email ; papilinkmziki@gmail.com