
1,379 views
8 Sep 2025
Kimbilio ni wimbo wa maombi. Niliuandika wakati nchi yetu ya Kenya ilikuwa ikishuhudia maadamano ya kila mara ya vijana wetu.Hili lilikuwa ombi langu kuwa Mungu aokoe nchi yangu Kenya. #Kimbiliolangu#Favoured fwamba #gospelmusic #africangospel #swahilisongs