
257,139 views
31 Dec 2025
TUMEANZA TENA ni wimbo wa kututakia heri ya mwaka mpya. Wimbo huu unatuimiza kwamba, mwaka mpya unapoanza, tuwe karibu na Mungu na tukifanya hivyo, kila juhudi zetu zitafanikiwa.🙏🙏 Anastacia Muema wishes you a HAPPY NEW YEAR 2026. Ukawe mwaka wa kurudishiwa vilivyopotea, kujibiwa maombi na kuinuliwa juu zaidi. Dressed by Prawo Collections #gospelmusic #happynewyear