
237,293 views
4 Dec 2020
Mlima Nebo. Composer Pr.Amos Kombe Arranged by Joe Msanii 2020 Perfomed by Msanii Music Group Lyrics Nasimama mlima Nebo nakabili kanani, nchi nzuri ni mzuri mno natamani kufika... Natoka mbali mbali jagwani, na shida nyingi nlipata, karibuni tapumzika natamani kwetu. Ni nchi yenye neema na amani popote... miti yote ni nzuri mno yazaa siku zote... upepo mzuri, maji mzuri, Bwana mwenyewe ni mwanga kule... ni furaha, siku zote... Nitafika lini? Nikivuka yordani atanikaribisha... kwenye mji wa thamani mji yerusalemi.... (takaa naye pasipo kufa milele kule na malaika nitaimba nitamba nimefika kwetu)×2 nitaimba nitaimba nimefika kwetu.