
241,163 views
22 Apr 2020
https://youtu.be/yezJoM5mG7s Umeinuliwa By Burton King Lyrics Verse1 Hakuna Mungu Mwingine Kama wewe Baba Hakuna Hakuna Mungu Mwingine Kama wewe Baba Hakuna Hakuna mwenye Nguvu Kama zako Baba Hakuna Unayefanya Mambo ya ajabu mimi sijawahi ona Baba Hakuna Unayetenda miujiza katikati ya dunia yote Baba Hakuna Tena umetukuka juu ya mataifa yote Baba Hakuna Wanadamu wote na malaika pia wanakuabudu wewe Baba Hakuna Wanainama wanainuka wakisema wewe Ni Mungu Baba Hakuna Sifa zako zimetandatanda dunia na mbingu yote Baba Hakuna Utukufu wako umetandatanda dunia na mbingu yote Baba Hakuna Ndio maana ninasema Chorus Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe Umetukuka Hakuna Kama Wewe Verse2 Ni Nani Mungu Mwingine Kama Wewe Baba Hakuna Unayeponya magonjwa madaktari hawawezi kuponya Baba Hakuna Unayefanya Mambo ya ajabu yanatisha dunia yote Baba Hakuna Unabadilisha maisha ya watu lakini unabaki yule yule Baba Hakuna Unayeinua wanyonge na tena unapanguza machozi yao Baba Hakuna Unawaketisha pamoja na wafalme unawapa heshima yao Baba Hakuna Nimetembea kote sikupata Mungu Kama Wewe Baba Hakuna Dunia yote inajua ukuu wako Baba Baba Hakuna Viongozi wote wa mataifa wanainama kwako Baba Hakuna Hata Rais wangu nimemuona akipiga magoti kwako Baba Baba Hakuna Ni Nani; Nani ajilinganishe na wewe Baba Baba hakuna Ni Nani; Nani anaweza pinga Nguvu zako baba Baba Hakuna Napenda kukuabudu Napenda kukuinua maana ndio ..... Chorus Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe Umeinuliwa Hakuna Kama Wewe Umetukuka Hakuna Kama Wewe Composed and Sang by Burton King BGVs - Sylvia Akoth/ House of Grace Worship Team Audio Producers - Esynet/Waitara Video Producer - Solomon K. Bassist - Augustine Solo Guitar - Benjamin Kabasike Other Songs by Burton King https://youtu.be/kRmBxDb856o https://youtu.be/F88lhWNrTFg https://youtu.be/yezJoM5mG7s https://youtu.be/un4K-vy9eDQ https://youtu.be/Jj8kWlA5Ncc https://youtu.be/CkxtKL56_Yg https://www.youtube.com/channel/UC8MOPOpF7r8AaQ-oeanbL4Q