
1,567,568 views
6 Mar 2026
Asake Dj Mac WYFL Riddim OUT NOW Directed by Zethy Mix And Mastered by Beatkid LYRICS Step Out clean lazima niwake Nikitokea kwa mbogi lazima niwashe Nampig ngafi na ni mtu wake Wanadai kunipoteza lazima nisake Lonely at the top najiskia asake Butcher kaa ni beef na deliver kwake Zangu ziushikanga kushinda macrack head Teo chuo niliacha mabracket Look Top napiga design Me ni mbaya kushinda nyinyi wote combined Star born wakidai kuni define Juu yama henny nama molly machura wana whine Na shine na hakuna deal nime sign Traphouse kwetu inakuanga shrine Niko stu Mistari imepotea Ngoja nitafute hio line Sahi si chai nawashik nama rhyme Step Out clean lazima niwake Nikitokea kwa mbogi lazima niwashe Nampiga ngafi na ni mtu wake Wanadai kunipoteza lazima nisake Step Out clean lazima niwake Nikitokea kwa mbogi lazima niwashe Nampiga ngafi na ni mtu wake Wanadai kunipoteza lazima nisake Kaa sio Laki sitaki Nipate kwa stu leo staki ku party kaa huni njaki huni pati Leta Mdomo Unakula Machapati Mental chizi madawa kwa chwaki Mnyonge Hii Side hana Haki Najituma siko lucky Nimenjavu stambui bloody fucking Nikiwa na zack lazima ziwake Chef Kuna mwiko kwa jacket Mchuje kaa ni ratchet Juice World Naji murder nama Satchet Suspect Na hepa niko wanted Na mix madre Akili Iko Absent Manyoka ni wengi nyasi tuzikate Huku lazima ziwake Step out Clean Lazima niwake Nikitokea kwa mbogi lazima niwashe Nampiga ngafi na ni mtu wake Wanadai kunipoteza lazima nisake Step out clean lazima niwake Nikitokea kwa mbogi lazima niwashe Nampiga ngafi na ni mtu wake Wanadai kunipoteza lazima nisake