
342,643 views
28 Feb 2020
©MASTARGANG STREAM on Spotify & Apple music: https://songwhip.com/mastarvk DIRECTED BY MASTAR VK & JAMIERYLO VIDEO EDITED BY JAMIERYLO [0727665517] AUDIO PRODUCED BY BEATKIDD [0740086640] http://www.instagram.com/beat_kidd/ MASTERED BY HYBRID [0719350464] For bookings follow the Mastar on social media: Instagram: http://www.instagram.com/Mastar_Vk Facebook: http://www.facebook.com/Mastar_Vk ⭐uploaded by MASTARGANG⭐ Copyright 2020 ⛧LYRICS⛧ (VERSE 1) Luku ni safi ka pamba nadunga mbaka najigamba Ka chaser makali na shadda nanyanya nika najimada Skuizi nika me ni nganya nafika kwa keja joh ka ame nipanda Diva ume shinda uki hanya Ana nikumba nika ana nihanda Heri niteke Akothee, tupigwe mamboto tupozee, nichachishe ndevu ka rozee, ka jaba kazoze Huwezi nipata majini, nizame Ati sa niko chini kachipo kabambe na chilli tunyanye ata ka ni kazini. (HOOK) Nakuja kuleta mangori Nakuja kujaza adi pori Nika nina mbogi kwa lorry Safisha uepuke wanori... (×2) (VERSE 2) Pesa ita fanya ninone, ka gym alafu nishone Buda Ana taka nisome, ndo wana kijiji waone Mboka ina fanya nikose gethaa yakupatana nikuchome Na bado nasema joh sina gethaa ya kukushika nikupone Afande anafaa kikombe Nipate ile baze ya vikombe Mangoto nikama za quavo, nabeba wasupa kwa benzo Mafala nawapa ma eddy adi sikuizi wauthani ni kenzo Mbosso imba na ngoso mistari ni kama za leso Kejani gethaa niko loso mangoko Nateka kwa meso Hii miti ni refu bado ni dawa me ndo nili pima adamu na hawa Me si mchafu me nime nawa ugali iki kuja nafinya ka kawa Cheki huja shower buda una chawa ka zime shika joh wacha Madawa (HOOK ) Nakuja kuleta mangori Nakuja kujaza adi pori Nika nina mbogi kwa lorry Safisha uepuke wanori... (×2) #MASTARVK #NAKUJA #BEATKIDD #PLAYKEMUSIC #TRAP #migos #dababy #roddyrich #quavo #liluzivert #instrumental #weed #stoner #hood #oldskul #youtube