
456 views
Katika Kitengo cha Kero Lako leo hii tunaliangazia kero la wanafunzi katika vyuo vikuu vya umma ambao masomo yao yamesambaratika kufuatia mgomo wa wahadhiri ambao umeingia siku ya 13 leo hii baada ya kuanza Oktoba 2. Edited & Uploaded by Razaq Malik Graphics by John Muthui ©2025 Radio47 Cape Media Limited