
90,425 views
Hood Boyz feat Mark Acairasan and Tipsy Gee
9 Oct 2024
WA LEO TU - HOODBOYZ Ft. MARK ACAIRASAN X TIPSY GEE (OFFICIAL VIDEO) Song written and performed by Hoodboyz featuring Mark Acairasan (Angry Panda) and Tipsy Gee. Stream this song on: https://t.ly/yPfJv Follow Hood Boyz on: INSTAGRAM: / hoodboyz_ke TIKTOK: https://www.tiktok.com/@hoodboyzke?la... Follow Mark Acairasan on: INSTAGRAM: / mark_acairasan TIKTOK: https://www.tiktok.com/@markacairasan... YOUTUBE: https://www.youtube.com/@UCGk6rHfLgYsZsLiYpIKyT_A Follow Tipsy Gee on: INSTAGRAM: https://www.instagram.com/tipsygee_/ TIKTOK: https://www.tiktok.com/@tipsygeemusic_?lang=en YOUTUBE: https://www.youtube.com/@UC74srInK5q5splxlcJ4baDg Audio produced, mixed and mastered by: https://www.instagram.com/@theisimking32 and https://www.instagram.com/@fromthehoodmusic Visuals by Ricky Bekko: https://www.instagram.com/ricky_bekko/profilecard/?igsh=NzYxbWNwcGdwam5k Lyrics Verse1: Papa nyosto: I bagged this peng baddie wa kilimani Vibe tuka click akaanza kunitamani Vitu tulifanya dance floor akiyanani Shawrrie ameshafall nishamvuta kejjani Anabambika bile joh na party na dorime Gizani ashanikatia kiuno ka mashine asubuhi imefika anafaa kusafisha Namwambia masaa mbaya ashaanza kukasirika Chorus : Na alikua wa leo tu leo leo tu One night stand antaka kua main boo Ananikatisia vile ananileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Leo leo tu One night stand antaka kua Main boo Ananikatisia vile ana nileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Leo leo tu Na alikua wa leo tu wa leo tu Leo leo tu Verse2: Mark acairasan:Tulipatana kwa dance floor Vile alikua anafanya ndo saa mavako(chuchuu) Tequero teqero seniorita alikatisha io michakato Kwanza anaona pombe vile imejaa kwa table Marapapa titititi mbaka mangware Tuko kasarani starehe ni za kwale Ka wochi niko rada mbaka mangware Kaa ukijua mihuchapa mbaka ilale Verse3: Tipsy gee:chupu chupu chuu karibu nimpige tuff Na alikua waleo tu ashakataa nitoke juu kamum na juu uko juu na back manyu uko na proof Kumbuka jina ni tipsy mbona unaniita boo Risky Shawrrie ana fettish ya wasanii nilimkulisha the D Saa anauliza if we can B we cant be we Me kwanza napenda ma petite na vile unakwela bigi sorry we cant be Chorus: Na alikua wa leo tu leo leo tu One night stand antaka kua main boo Ananikatisia vile ananileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Leo leo tu One night stand antaka kua Main boo Ananikatisia vile ana nileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Leo leo tu Na alikua wa leo tu wa leo tu Leo leo tu Verse4: Mana vevo:Shawrrie alikua mfine Alikua mali safi no doubt she’s a ten out a ten yani baddie Lakini vako za kunijamia ndo sitaki Msupa nilimbag kwa uyo chali uyo chargie Siku dai vako zake juu nilijua joh ni ho. Usini misintterprate aty ye joni homie Aty eh ye ni homie Usini usini usini usini yoh! Verse5: Fame stano:Alikua wa leo tu na vile ananinganga nia anatakua boo Ashaanza za urazi ananiletea za uduu Ananishika shika mahali hafai kudu Uyu manzi wa udu Amejipamba na maqualities That shawrrie peng ting ni ka japannese chinnese Amejipamba na maqualities That shawrrie peng ting ni ka japannese chinnese Chorus: Na alikua wa leo tu leo leo tu One night stand antaka kua main boo Ananikatisia vile ananileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Leo leo tu One night stand antaka kua Main boo Ananikatisia vile ana nileta juu Ashaanza kunifuria juu nadungiwa na maboo na alikua wa leo tu Wa leo tu leo leo tu All rights reserved. From The Hood Music 2024 © #waleotu #hoodboyz #tipsygee #papanyosto #manavevo #famestano #markacairasan #angrypanda