
13,361 views
2 Jul 2024
Tumechoka (We are tired) Audio written and produced by Kethan Footage taken by LifewithoutPj and Fidel Tall LYRICS Ati wanatusimamia Haja gani sitting allowance Wamejaza magunia Pesa zetu Ndio Wanagawa Tumebaki tukiumia Sisi hatutawai tanyamaza Siku zinakaribia Miti yote yanateleza Tangu tuwape viti Mmetufanyia nini? Vitu vidogo, dogo Kutufunga macho Jasho zetu na bidii Tuonyesheni risiti Mstahiki meya Tumechoka na Hadithi Tumechoka Hamtujali sasa Tumechoka Hamuoni vile Tumechoka Sisi sote sasa Tunaona sana tunaona sana Vile mnatufanya Tunawazama Wakati umefika Wakati wa kushuka Tumechoka kuzungushwa Sasa tumeungana Tumechoka Hamtujali sasa Tumechoka Hamuoni vile Tumechoka Sisi sote sasa Tumechoka