
25,389 views
Katibu Mkuu wa chama cha Safina, Joakim Simiyu, anachambua hali ya taifa, utendaji wa Rais William Ruto, mustakabali wa upinzani na mabadiliko ya ushawishi wa kisiasa katika eneo la Magharibi mwa Kenya. Pia anazungumzia nafasi ya Safina katika muungano wa upinzani na matarajio ya uchaguzi ujao.