549 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Oct 2026
10:54
Katibu Mkuu wa chama cha Safina, Joakim Simiyu, akosoa utawala wa Rais William Ruto, akisema ameshindwa kutekeleza baadhi ya ajenda zake. Je, serikali imefanya vya kutosha kutimiza ahadi zake kwa Wakenya?