168 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Oct 2026
11:20
Katibu Mkuu wa chama cha Safina, Joakim Simiyu, asema chama hicho kinachoongozwa na Jimmy Wanjigi ni sehemu ya muungano wa upinzani. Anazungumzia nafasi ya Safina katika siasa za upinzani nchini.