666 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Oct 2026
12:28
Familia ya hayati Raila Odinga yaonekana kuwa na misimamo tofauti ya kisiasa. Raila Junior asema atamuunga mkono Rais William Ruto, huku Winnie Odinga akionekana kumuunga mkono Edwin Sifuna. What next?