10 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Oct 2026
3:17
Usikate tamaa unapopitia changamoto. Mungu hajakusahau! Endelea kusimama imara katika imani yako, ukijua kuwa Mungu ana wakati wake wa kutenda. Hata katika magumu, mshikilie Mungu na uwe ushuhuda wa upendo na uaminifu wake kwa wengine