65 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 19 Oct 2026
5:33
Watoto wanapokuwa nyumbani kwa likizo, wazazi tuna jukumu la kuwaongoza, kuwafundisha maadili mema na kuwaonyesha mfano bora kupitia matendo yetu, kwani watoto hujifunza mengi kutokana na tabia za wazazi wao.