
15,498 views
17 Sep 2018
Artist: Neema Audio: Noel waitara Video By Tiger (Mind vision) Times seasons may change But the lord will never change Wakati wa dhiki na wa raha Unabaki kuwa yule yule Wewe ndiwe mungu pekee Hubadiliki kamwe Wewe ndiwe mungu pekee Hakuna kama wewe Uaminifu wako ni mkuu Fadhili zako ni za milele Rehema zako hazikomi Ila ni mpya kila uchao Kwa jina lako ewe bwana Kila goti litapigwa Na kila ulimi ukiri kwamba Wewe ndiwe ewe