
1,155 views
4 Oct 2026
Written and performed by Sonwiza Video: 360 Empire Audio: SONWIZA B Producer:360empire (TY) Instrument: ROBBINSON K6 For support,calls and booking, Phone. +254798170033 LALA SALAMA - SONWIZA B Huu wimbo nimemuandikia Mama yangu mpendwa aliyetangulia. Mama, pumzika kwa amani. Kila noti kwenye hii keyboard ni machozi, ni kumbukumbu, ni upendo ambao hautawahi kufa. Kwa kila mtu aliyempoteza mama yake, huu ni wenu pia. ❤️ Rest In Peace Mum LALA SALAMA 🕊️ For My Mum. You left but your love stays forever. Dedicated to all mothers in heaven. By SONWIZA B LALA SALAMA - SONWIZA B (Official Tribute) This song is for my late mother. Mama, umelala salama lakini nyimbo yako itaendelea kuimba moyoni mwangu. Audio: Sonwiza B Tribute to: My Mum 🕊️ If you have lost your mum, let this song comfort you. You are not alone. #LalaSalama #SonwizaB #TributeToMum #RIPMama #GospelTribute Mama, safari yako imekwisha, lakini upendo wako unaishi. LALA SALAMA ni wimbo wa shukrani na kwaheri kwa mama yangu aliyenilea kwa upendo. Lala salama Mama, tutaonana tena.