
17 views
Unapopitia changamoto, huzuni, hofu au kuhisi umelemewa na mizigo ya maisha, kumbuka kuwa Yesu anakualika umkaribie. Huhitaji kubeba kila kitu peke yako. Mkabidhi yeye mahangaiko yako, endelea kuwa na imani na usikate tamaa, kwa maana kwake utapata faraja, amani na pumziko la moyo