22 views
Radio Maisha Safari on Radio Maisha
Aired 20 Oct 2026
1:32
Kila siku ni zawadi kutoka kwa Mungu, na hakuna ajuaye kesho italeta nini. Usijisifu kwa mambo ambayo bado hayajatimia, bali mshukuru Mungu kwa uhai na nafasi aliyokupa leo.