
525 views
Truphena Muthoni anazungumzia safari yake! Kutoka kwenye changamoto ya kukumbatia mti kwa ajili ya kuhifadhi misitu ya asili, hadi kukabiliana na backlash na depression, Truphena anafunguka kuhusu safari yake, changamoto alizopitia na maana ya kipekee ya rangi kwenye nywele zake.