235 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 20 Oct 2026
8:42
Truphena Muthoni anafichua jinsi alivyokumbwa na depression kutokana na ukosoaji na maoni hasi kutoka kwa Wakenya baada ya changamoto yake ya kukumbatia mti. Je, alikabiliana vipi na changamoto hizo za kihisia?