
264,744 views
St. Benedict Catholic Choir Rapogi
12 Nov 2021
Available on all Platforms: https://album.link/i/1752136297 Performers: St. Benedict Catholic Choir, Rapogi Producer: Verony Productions Ltd. Composer: Ochien'g Odongo Copyright ©Verony Productions Ltd. Mimi ninapiga picha mbinguni itakavyokuwa, Tutakapomwona Mwokozi kwenye kiti cha enzi *2 Polo to wanamor kwadonje to wanamor, Mbinguni kutakuwa raha polo to wanamor *2 Siku hiyo ikifika sauti zetu tutapaza, Tukiimba nyimbo za shangwe kwake Mwenyezi Mungu *2 Tutaruka kama ndama pamoja nao malaika, Tutacheza tukizunguka kiti chake cha enzi *2 Tutang’aa kama mwezi vyakula vingi tutakula, Tutakunywa tukifurahi naye Mwana Kondoo *2 Ole wenu wenye dhambi mlango utakapofungwa, Nguvu zake yeye shetani Bwana atazishinda *2