This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

7 Jul 2021
Performers: St. Benedict YCS Choir Mumbuni Technical Training College Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. COMPOSER: Nichodemus Mwithi Maisha yangu nimemuachia Bwana ee Maisha yangu nimemuachia Bwana atawale *2 Nawambieni kwake Bwana Mungu wetu kuna raha Nawaiteni njooni kwake Mungu wetu kuna raha (Njooni nyote onjeni, onjeni, onjeni, Njooni nyote onjeni ya kuwa Bwana ni mwema) *2 Mawanzo yangu nimemuachia Bwana ee Mawanzo yangu nimemuachia Bwana atawale *2 Mipango yangu nimemuachia Bwana ee Mipango yangu nimemuachia Bwana atawale *2 Mashaka yangu nimemuachia Bwana ee Mashaka yangu nimemuachia Bwana atawale *2