This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

25 Jun 2021
Performers: St. Benedict YCS Choir Mumbuni Technical Training College Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. COMPOSER: Nichodemus Mwithi Lisifuni jina la Bwana enyi watumishi wake, Enyi mnaosimama katika nyumba yake muumba wetu *2 Nimejua hakika Bwana ni mkuu, Na Mungu wetu yu juu ya miungu yote, Yeye hufanya, limpendezalo, Katika mbingu pia na nchi, Kwenye bahari na vilindini. Msifuni Bwana kwa kuwa yeye ni mwema kwetu, Imbeni jina la Bwana maana kunapendeza kumshukuru *2 Inueni mikono yenu pahali patakatifu, Mtukuzeni Muumba aliyezifanya mbingu pia na nchi *2 Bwana atawapa haki watu wa taifa lake, Yeye atawabariki wanaomtengemea milele yote *2