This video is no longer available on YouTube. You can still watch more from the same artists below.

16 Jun 2021
Available on all platforms: https://album.link/ke/i/1753234080 Performers: Christ the King Catholic Church Choir - Masii Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. Utukufu juu kwa Mungu Baba, Utukufu juu mbinguni, Na amani kote duniani Baba, Kwa watu wenye mapenzi mema *2 Twakusifu Baba, tunakuheshimu Tunakuabudu, tunakutukuza *2 Ewe Mungu ndiwe, Mfalme wa mbinguni, Mungu Baba Mwenyezi, Mungu Baba Mwenyezi Tunakushukuru mwenye utukufu, Mfalme wa mbinguni, Mungu Baba yetu Mwana Yesu Kristu, mwana wa pekee, Ee mwanakondoo, mwana wake Baba *2 Mwenye kuzifuta dhambi za dunia, Utuhurumie, utusikilize *2 Mwenye kuketi kuume kwa Baba, Pekee yako mkuu ewe Yesu Kristu *2 Pamoja na Roho Mtakatifu, Katika utukufu wa Mungu Amina *2