
17,320 views
10 Apr 2021
Performers: St. Mark's Nzoia Catholic Choir Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. MTUNZI: Joseph Shomaly Hebu jiulize rafiki yangu mzuri, Kidogo, kidogo ngoja lini kitakuwa kikubwa * 2 Ngoja kidogo tu, nitaomba ma kesho leo sina nafasi, Ngoja kidogo tu, nitafunga ndoa ngoja nitafute pesa, Bado mimi kijana, nitaenda jumuiya nikiitwa baba, Na mimi msichana, nile raha leo kanisani baadaye, Kidogo, kidogo ngoja ngoja hii rafiki kifo kinabisha hodi * 2 Tutakuja tunajipa matumaini hatujui ya Mungu, Tukisema ngoja kesho, tukisema ngoja kesho, Pengine kesho yetu hatujui tutafika Tutakuja tunajipa matumaini twamsahau Mungu, Tunazipanga ratiba, bila kumuomba Mungu, Pengine kesho yetu hatujui tutafika Mambo ya Mungu tunasema ni baadaye ngoja tutafute mali, Tunajipa mizunguko, kila siku tuko bize, Pengine kesho yetu hatujui tutafika Dunia duala mambo yabadilika tusingoje ya kesho, Uzee wakaribia, kifo kinabisha hodi, Pengine kesho yetu hatujui tutafika