
42,619 views
15 Feb 2021
Performers: St. Benedict Catholic Choir - Rapogi Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. COMPOSER: Ochien'g Odongo Nyika na mahali palipo ukiwa patafurahi, Jangwa litashangilia na kuchanua maua, [Litachanua maua mengi (sana) litashangilia na kuimba (kweli) litauona utukufu na ukuu wa Mungu] * 2 Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, Yafanyeni imara magoti yaliyolegea. Waambieni wale walio na moyo wa hofu, Tazama Mungu wenu atakuja kuwaokoa. Macho ya vipofu yatafumbuliwa hakika, Na masikio ya viziwi na yatazibuliwa. Vilema watarukaruka kama kulungu, Na wale walio bubu hakika na wataimba. Waliokombolewa watafika sayuni, Furaha ya milele itakuwa vichwani mwao.