
47,080 views
8 Dec 2020
Download or listen online: https://mdundo.com/song/2822810 Performers: St. John Kusyomuomo Catholic Choir Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. COMPOSER: Nichodemus Mwithi Macha tumechacha na wimbo wa Yesu, Sifa za Bwana zi kinywani daima, Tumeamua kutangaza ujumbe, Wana wa Eva waimbe Halleluya. Tumechacha na upendo, Tumechacha na amani, Tumechacha na furaha, Bwana wetu asifiwe, Tumejifunga viuno, Tumeandamana sote, Kumsifu Maulana, Na kutangaza injili. *2 Macha tumechacha na pendo la Yesu, Tutaeleza wajane na yatima, Wagonjwa wote pia na walemavu, Mwana wa Maria yeye anawapenda. Macha tumechacha na pendo la Yesu, Tutayavuka mabonde na milima, Tutazunguka sayari tukisema, Emmanueli yeye ndiye uzima. Macha tumechacha na neema ya Yesu, Nuru ya Bwana imetuangazia, Tumeuona utukufu wa Mungu, Jehovah Shammah Muumba ulimwengu.