
66,717 views
8 Aug 2020
Available on all Platforms: https://album.link/i/1757393381 Performers: Holy Rosary Choir - Kenya Israel Producer: Verony Productions Ltd. Composer: Boniface Mutinda Copyright ©Verony Productions Ltd. Ee Mungu Mfalme wa mbingu, Pokea shukrani zetu, Tunayo furaha tele, Kwa yote uliyotutendea x 2 Pokea sifa, utukufu ni wako, Viumbe vyote duniani vya kushangilia x 2 Tunakula pia kunywa, Kwa uwezo wako Mungu, Hewa tunayopumua, Yatoka kwako Mwenyezi x 2 Maisha yetu twakupa, Ee Mungu uyatawale, Tuongoze kila siku, Mwanga wako tuangazie x 2 Tunasema ni asante, Kwako Mungu Mwenyezi, Daima tutatangaza, Sifa zako duniani x 2 Maisha yetu twakupa, Ee Mungu uyatawale, Tuongoze kila siku, Mwanga wako tuangazie x 2