
169,665 views
16 Jul 2020
Available on all Platforms: https://album.link/ke/i/1761155053 Performers: St Paul's Students' Choir - University of Nairobi Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. Mbona nahangaika, mkiwa mimi, Sina hata wa kunifuta machozi x 2 Ni aibu gani iliyonitanda, Najuta hata siku ya kuzaliwa kwangu Maskini mimi, nitakuwa mgeni wa nani, Nakulilia eee Mungu uniokoe x 2 Taabu na matatizo yanisonga mimi Shida nazo karaha zanisumbua mimi, Mungu ufanye hima uniokoe. Nimeugua nikilalama, mnyonge mimi, Sina rafiki wala mtetezi, mkiwa mimi Wote wamenigeuka kuniwinda. Kila waliwazalo juu yangu ni baya, Kuugua kwangu kumbe ni furaha kwao, Walitaka nife nisahaulike.