
45,319 views
1 Jul 2020
Available on all Platforms: https://album.link/ke/i/1756359820 Download of listen online: https://mdundo.com/song/2161739 Performers: Christ the King Cathedral Choir - Bungoma Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. COMPOSER: Ochien'g Odongo BWANA YU KARIBU - Christ the King Cathedral Choir - Bungoma Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Nitakuhimidi Bwana Nitalisifu jina lako milele na milele Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana ndiye mwenye kusifiwa sana Wala ukuu wake yeye hautambulikani Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana ni mwema kwa watu wake wote Na rehema zake zi juu ya kazi zake zote Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana ni mwenye haki kwa njia zote Na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao Bwana yu karibu x3 Na wote wamwitao