
736,234 views
30 Apr 2020
Available on all Platforms: https://album.link/i/1752463683 Performers: St Paul's Students' Choir - University of Nairobi Producer: Verony Productions Ltd. Copyright ©Verony Productions Ltd. (Mataifa yote ya ulimwengu Yatakusujudia ee Mungu (Mungu Baba) *2 Mema uliyonitendea Mungu wangu ninashukuru Jana leo nimeamka kesho sijui itakuwa vipi Ninashukuru Mungu wangu leo Na nyimbo nzuri ninaimba ili kesho nayo niwe salama Nazo sifa zako, nitangaze pote } *2 1. Uamkapo asubuhi ndugu yangu, umshukuru Mungu, Kwa jinsi alivyokulinda usiku wenye giza tororo, Uimbe kwa furaha na kuchezacheza kwa madaha. 2. Ufikapo safari yako ndugu yangu, umshukuru Mungu, Kwa jinsi alivyokulinda kwa ajali za barabarani, Uimbe kwa furaha na kuchezacheza kwa madaha. 3. Shikaneni mikono sasa yote muinyanyue juu, Semeni kwa shangwe na mbwebwe maneno haya kwa furaha, Ameweza, Bwana Mungu kweli ameweza, ameweza.