
124,680 views
5 Nov 2019
Performers: St. Benedict Catholic Choir - Rapogi Producer: Verony Productions Ltd. Composer: Ochieng' Odongo Copyright ©Verony Productions Ltd. Leo amezaliwa masihi mwana wa Mungu x 2. Na tuimbe sote tuseme aleluya x 2 (hakika) Leo tumepatanishwa na mwenyezi Mungu x 2. Njooni wapenzi, tufanye shangwe, Viumbe wa Mungu tufanye shangwe, Katika nyumba ya Daudi amezaliwa, Mfalme wa juu mbinguni na duniani. Na malaika, wanamwimbia, Hosanna! Hosanna! juu mbinguni, Sote tupazeni sauti zetu zaidi, Tujiunge na Malaika na tumwimbie. Tukufu juu kwa Mungu wetu, Na amani kote ulimwenguni, Yesu mwokozi kazaliwa leo mapema, Twendeni wote tumwabudu na tumsujudu. Na jina lake ni mshauri, Mshauri wa ajabu, Mungu hodari, Mfalme wa amani tena Baba milele, Mungu atokaye kwa Mungu Mwanga kwa Mwanga. Mungu Mwenyezi katushukia, Nguvu na uweza,wote ni wake, Kila anayekiri kwamba Yesu ni Bwana, Mungu yu ndani yake naye ndani ya Mungu.