
8,470,731 views
26 Sep 2014
Download or listen online: https://mdundo.com/song/2161847 Performers: St. Peter's Catholic Choir, Kapsabet Producer: Verony Productions Ltd. Composer: Ochien'g Odongo Copyright ©Verony Productions Ltd. Kongoi mising Cheptalel kwandanyo {Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo} *2 {Kongoi we kongoi cheptalel (kongoi) Kongoi we Baba kongoi mising }*2 { Twakushukuru Mungu, maana we u mwema Kongoi we Baba kongoi mising } *2 Wakati wa majonzi, wewe ndiwe tulizo Wakati wa hasira wewe ni burudisho (hakika) Wakati wote Baba wewe ni tegemeo Giza likitokea wewe ndiwe mwangaza Magonjwa yakijiri wewe ndiwe tabibu . . . Adui zangu wote umewaaibisha, Japo ni wengi sana kama nywele za kichwa . . . Wakati wa- njaa wewe ni msaada Wajane mayatima wewe unawalinda wote . . . Hitimisho Kongoi mising Cheptalel Kwandanyo { Kongoi mising (haiya haiya) kongoi missing kiptayanyo } *2