
140,503 views
10 Sep 2022
Bwana asema asema, mimi nitawanyunyizieni baraka Nitamkemea, yeye ayalaye, mazao ya ardhi yenu wala mzabibu wenu hautapukutukika Leteni sadaka katika ghala yangu kiwemo chakula kingi ndani ya nyumba yangu == wimbo wa zaka na matoleo. Mtayarishaji - Munywoki Martin Mutua Mtunzi - J. C. Shomaly Kinanda - Gabriel C. Mkude