
1,136,767 views
16 May 2021
Cha kutumaini sina, ila damu yake Yesu, sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwambani salama Njia yangu iwe ndefu yeye hupia wokovu, mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndizo nanga Damu yake na sadaka nategemea daima yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani, nikivikwa taji yake, sina hofu mbele zake #SautiTamu #tenzizarohoni #kwayakatoliki Wimbo: chakutumaini sina Mtayarishaji - Martin Mutua Munywoki Kinanda - Martin Munywoki Waimbaji - Sauti Tamu Extra clips from Cheers and Tears movie by Munywoki M. M chakutumaini sina ni wimbo wa kuabudu, unaweza tumika pia kama wimbo wa huzuni, wimbo wa mazishi, matanga, maombolezo, nyimbo za msiba n k wakati mwingine unatumika wakati wa kupokea mwili na damu ya Yesu. Tazama nyimbo nyingine za sifa na kuabudu kwa channel hii kama vile huniongoza Mwokozi, chakutumaini sina, atukuzwe aleluya, roho yangu na ikuimbie, na Lo Ajabu kupata uzima. unaweza tumika kipindi cha Kwaresma, lent