
341,846 views
23 Oct 2020
Umeimbwa na Halima Mwanyalo, mwanakwaya wa St. Paul's Students Choir, University of Nairobi Zaeni matunda mema, zaeni matunda yale, zaeni yenye baraka, zaeni ya heri Bwana akiyapokea yatabarikiwa vyema, zaeni matunda mema, zaeni ya heri umetayarishwa na Martin Mutua Munywoki #SautiTamu #Zilipendwa Nyimbo nyinginezo za matoleo zinazopendwa sana ni pamoja na Sasa wakati umefika, Nikupe nini Mungu wangu, Nitakwenda mimi mwenyewe, utukuzwe ewe Baba Mungu utukuzwe, Tazama Bwana tunakuja kwako, Mungu Baba pokea sadaka yetu leo na nyinginezo zinazopatikana katika channel hii