
240,031 views
30 Jul 2020
Mtunzi: Martin Munywoki Mwimbaji: Celestine Mutindi Karibu kuutazama wimbo mpya kwa kushukuru, kutukuza, kusifu na kuabudu Mungu. Tazama nyimbo zaidi kwa channel hii upate msisimko wa sifa, nitamtukuza Mungu na Watumishi wake Baba. #SautiTamu #Gospel Celestine ni alumni wa University of Nairobi, kwaya ya Mt Monica, Lower Kabete Campus Catholic Students Community.