
2,549,894 views
25 Feb 2019
Happy Easter. Kila heri ya Pasaka watazamaji. Bwana Yesu amefufuka, ameturudishia uzima, tumshangilie kwa msisimko wa sifa. St. Paul's Students Choir University of Nairobi vol 8 Karibu kuutazama wimbo wa kwanza wa kanda ya nane (vol 8) Kwaya Kuu ya Wanafunzi ya Mtakatifu Paulo, Chuo Kikuu cha Nairobi #StPaulsStudentsChoir #vol8 #SautiTamu Sasa wakati umefika, Tazama Bwana tunakuja kwako, Watumishi Wake Baba - Traditional sasa zinapatikana hapa Usikose pia kutazama nyimbo nyingine za St. Paul's Students Choir, Nairobi University songs YouTube kama vile Nitakutukuza Mungu, Mwangaza (Mukasa), Natazama Kalvari (Kwaresima) na Tunakimbilia Ulinzi wako (Mama Bikira Maria) Misa Upendo (sub vol 8.1) na nyinginezo za kanda zilizotangulia: Alfajiri ya Kupendeza, Kina Hiki, Mbinguni Kutakuwa Raha, Mshike Mshike, Ikatetemeka Nchi, Tazameni Miujiza, Ninafikiria sana, Ushuhuda Tosha, Upendo Kupita Upeo, ORGANIST MKUDE SEKULU DIRECTOR MARTIN MUNYWOKI COMPOSER J. C. SHOMALY PRODUCER MARTIN MUNYWOKI Tazama pia wimbo wa Atawala Milele pamoja na nyimbo nyingine katika channel hii Kupata nyimbo nyinginezo bora za Kikatoliki, tembelea channels kama vile Rajo Production (nyimbo kama Mimina, Bwana Unibadili, Neema ya Mungu, Maneno Matamu), Tanganyika Production (kama vile shusha baraka na moyo wangu), Holy Trinity Studios, GSR Smart Sounds Studio Production, na nyingine. Lyrics Tunayapiga makofi na nyimbo za sifa Tunashangilia, tunafurahia Leo tunasisimka kumshukuru Muuma Huo ndio kweli msisimko wa sifa kweli Pepo na shetani wameshatimua mbio kweli Tunalipa sifa jina lake Yesu Kristu Nasi twamsifu Mungu kwa shangwe na sifa Simka, sisimuka, shangilia, jina Yesu Tumeuona wema wake na mkono wake umetubariki Subscribe to find Best Catholic songs Kenya and Tanzania