
860,805 views
24 Apr 2018
Kwa kinywa changu Mungu wangu nitakutukuza, Kwa nyimbo nzuri nitaziimba sifa zako Kwa kuwa Mungu wema wako kwangu mimi ni mkuu siwezi kuelezea Sina kitu Bwana cha kukupa, kulingana na mema uloyatenda, Naitoa kwako nafsi yangu, nitendee unavyotaka Umeimbwa na St. Paul's Students Choir University of Nairobi. umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki organist - Mkude Sekulu Tazama nyimbo nyingine kwenye channel hii kama vile Msisimko wa Sifa, Nimeahidi Yesu, Nikupe Nini Mungu wangu, Sasa Wakati Umefika, Uniondolee Dhambi nitakase, na nyinginezo