
3,724 views
17 Dec 2020
I had my girlfriend, and we loved each other like a roast beef She was lucky enough to go abroad to university to study Three years in Japan to study medicine My Stella eeh SMS 'skiza 7740622' send to 811 to get this song as your skiza tune About 30 years ago, a young man fell in love with a young girl who was then a student at Kenyatta University. That young man was named Freshley Mwamburi, and his love was a bright, ambitious girl named Stellah. He came from Taita, she came from Kangundo. The relationship took off well, with the two enjoying the little trappings of youth and, every now and then, riding around town in Mwamburi’s aging car. But, just as he was considering settling down for an enchanting life with the girl of his dreams, Mwamburi got the shock of his life when, in the early years of the 1990s, Stellah ditched him for another man. Heartbroken, he went to the studios and recorded the hit song ‘Stellah’, released in 1995 as an album cover. For this and more of your favorite #Patriotic #Zilizopendwa #Rhumba #Lingala and #Gospel songs from your favorite artists of all time, Subscribe to the Tamasha Records channel here: https://bit.ly/ChezaTamasha Follow us on Social Media: Facebook: https://www.facebook.com/youcanfeelth... Twitter: https://twitter.com/TamashaRecords LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/tamasha-c... Instagram: https://www.instagram.com/tamashareco... TikTok: @tmasharecords2 ©2019 Tamasha Corporation Limited. All Rights Reserved. #Africa #oldisgold #foryou #kenyan #trendingvideo #TamashaRecords #EverestKings #FreshleyMwamburi #AbdulMuyonga #stellar Artist: Freshly Mwamburi Song: Stella Wangu Language: Kiswahili nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo chuo kikuu kwenda kusoma miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari Stella wangu eeh nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo chuo kikuu kwenda kusoma miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari Stella wangu eeh nilivyompenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja nikauza shamba langu sababu yake yeye nikauza gari langu sababu yake yeye nikauza ng'ombe na mbuzi sababu yake yeye ili apate nauli yote na pesa zingine za matumizi huko Japani ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano ndio ilikuwa tarehe kamili ya Stella kurudi Kenya nilikwenda uwanja wa ndege kupata kumlaki Stella nilikuwa na Uncle Kilinda kwa uwanja wa ndege nilikuwa na Basilima Mulomba na mkewe na mtoto wake nilikuwa na Uncle Mjomba nilikuwa na ndugu afisi mtoto wa Mombasa ghafla ndege lilipotua wageni tuliona vituko Stella alishuka amebeba mtoto mikononi nyuma yake mchumba wake fupi futi nne Mjapani nilisikitika ndani ya moyo nikakosa la kufanya nilitamani nilie kikamba lakini sikijui ilinibidi nilie kijaluo amatima ngoa choa Freshly nilitamani nilie kihindi lakini sikijui ilinibidi nilie kitaita lugha ya baba na mama ilinibidi nilie kitaita iki mwana niponye vala Freshly nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo chuo kikuu kwenda kusoma miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari Stella wangu eeh nilikuwa na mchumba wangu tulipendana kama nyama choma alibahatika kwenda ng'ambo chuo kikuu kwenda kusoma miaka mitatu kule Japani kusomea udaktari Stella wangu eeh nilivyompenda Stella jamani kajitolea kwa roho moja nikauza shamba langu sababu yake yeye nikauza gari langu sababu yake yeye nikauza ng'ombe na mbuzi sababu yake yeye ili apate nauli yote na pesa zingine za matumizi huko Japani ilikuwa tarehe kumi na saba mwezi wa tano Venue : JKIA