
84 views
20 Apr 2025
Karibu kwenye urban hype mix Mix 2025 β mchanganyiko moto wa nyimbo kali kutoka Kenya, Tanzania, na Afrika Mashariki, ukiwekwa pamoja kwa ustadi na DJ BRIO254 aka Mr Prolific! π§π°πͺπΉπΏ Kutoka kwa Bongo Flava, Gengetone, Arbantone, hadi midundo ya Afropop na Singeli β hii ni mix ya wasanii unawapenda kama Otile Brown, Diamond Platnumz, Bahati, Marioo, Alikiba, Mejja, Zuchu, na wengine wengi! Hii mix ni kwa ajili ya: β Wakenya na Waswahili wote duniani β Sherehe, road trips, mazoezi, ama kupumzika tu na vibes tamu β Kupromote mziki wa Africa Mashariki kimataifa π π₯ Bofya play, enjoy the ride, alafu usisahau kusubscribe, like na kushare! π£οΈ Drop a comment na uniambie track yako favorite ni ipi! π² Follow DJ BRIO254 for more: Instagram TikTok SoundCloud YouTube Shorts β @djbrio254 #SwahiliVibesMix #DJBrio254 #MrProlific #KenyanMusic #BongoFlava2025 #Gengetone2025 #Afrobeats #TanzaniaToTheWorld #SwahiliMix #AfricanMusic #EastAfricanVibes #254Vibes

Dj Brio feat Vybz Kartel