
90,401 views
31 Mar 2024
Karibu sana uweze kutazama na kusikiliza wimbo huu uitwao YESU NI MSHINDI ulioandaliwa kwa ajili ya Pasaka Wimbo: Yesu ni Mshindi Mtunzi: Ray Ufunguo Mwimbaji: Felistas Mburugu Audio & Video: RAJO Productions Organist: Ray Ufunguo. Kristo aliyeshinda mauti akafufuke katika mioyo yetu.