
11,504 views
17 Apr 2024
Song : NITASKIZWA NA NANI Artist : Stewarn Genre : Genge/bongo Studio : Maua talanta & Nkanya aki Director : Eyezone caption lyrics Nimepatwa na msongo wa mawazo, hivi ndoto zangu kweli zitatimia Maana pesa upepo, mwenzangu n'kizishika, ghafla zinapotea Produce director wa nyimbo n'lotoa, pesa zao bado wanasubiria nawaahidi n'tazipata, japo nafahamu kivyangu, sina pa kuzishikia Ooh talanta ninayo, ila pesa inaleta vikwazo, nikilala sifungi hata macho, usiku kucha kama bawabu Kina baba na mama, Nliwaahidi lazima n'taleta nuru nyumbani, ila imepita miaka, nashindwa n'seme nao nini tena jameni,oooh Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji Mi nauliza.. Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji *************************** Ama niongee ukweli nikufe kifo kichungu kama SNIPER wameru waitafute haki yangu Ama n'jifanye a lady nivaliange sketi fupi bila mb*ika Ila n'takosea wazazi wangu Buda n'kon ngori maarif wangu wamenikanyangia kama soli maono yangu yote baana yamekuwa stori Am lonely,nimetengwa na mbogi Napanga niame kwetu niende n'kaishi NAIROBI Atleast, Nipatane na MEJJA OKUONKO ( @mejjagenge_official ) Ama n'sapotiwe naye MIKE SONKO ( @MikeSonkoTv ) ALPHA HOUSE , COLLO BLUE ( @colloblue_udc3643 ) wanipromo wanionyeshe hata kuzikwenda miondoko Nipige rap moto kama TRIO (@TrioMioOfficial ) na OG ( @khaligraphjones7355 ) Na performance chonjo nionekane kwa TV Niwe fundi wa vicheko kaa MAYUDAH na MUCHAINA (@Mayudahkumbafsana ) Ama n'katafute nyota yangu kwa kanisa... Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji Mi nauliza.. Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji *************************** Nawaza vile kesho itakuwa, ni baridi ama jua, kweli n'tapiga hatua, Ama n'tazidi kuwasumbua Kwa MOLA mi nazifikisha dua, atume msaada wake wa dharura, awatulize wote wanolia, wasio na mali awape kitu, kwa sababu najua kuwa Nothing of quality can come from people who deh fight prosperity,buda kusaka ganje imekuwa ndo form ya nomality, society,imeumia sana haina maganje,kuwe jua ama mvua lazima kuwa na maitaji Mhh cheki, kumeharibika, kwote kwote ni maduru z'nasikika, naskia tajiri wenye ganje wakiwika, eti hawana doh, na ndo maana nauliza.... Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji Mi nauliza.. Nitasikizwa na nani Anipige company Wote wanikubali niiitwe muimbaji Lyrics compiled by WOW MUSIC KENYA #nitaskizwananani #stewarn