
8,584 views
3 Nov 2023
Song:SPEND MY MONEY Artist:Stewarn Producer:Stro B Director:Vinnie Visuals lyrics The Amerucan Stewarn Che che cherulo Uuuuuiiii Hii weekend ninataka nijibambe Hii weekend ninataka nijipange Me with them stori mingi joh nikate Kamsupa kamnyweso mimi nijigange Mi ni sonko,nikona ganje Na siko soko,nikona manze Mamiondoko,nikona ange Kaodi kagwara kanyanga kistairo Juu I wanna do Spend my money ×3 spend Don't (touch my money × 3) touch ×2 I wanna spend my money Jaba nisage Nimelima sana mi nataka nipande Nishike guarana sina shinda na ganje Mi nataka n'toe fulana nibakie na shati Kuzitoka Lazma kila myu ajue nimeomoka Nijiepushe na dhambi juu mimi nimeokoka Nilale kwa reli waseme nimegoroka,ogopa Na si ati nini Na suka ya masai mi nilale kwa kiti Nivute kingwai mi niskie n'ko fiti Buda kazi kwa deejay abomoe mziki Kanini kanini Naka-extra mini Drive pole pole yaani kama mashini Piga luku safi toka juu adi chini Toka drinks teketeke tuingie kwa swimming Ati swim swim swim Juu ni pesa yangu swim swim swim Buda rada nikuswim swim swim Mpaka ndani tuna swim swim swim Hii weekend ninataka nijibambe Hii weekend ninataka nijipange Me with them stori mingi joh nikate Kamsupa kamnyweso mimi nijigange Mi ni sonko,nikona ganje Na siko soko,nikona manze Mamiondoko,nikona ange Kaodi kagwara kanyanga kistairo Juu I wanna do Spend my money ×3 spend Don't (touch my money × 3) touch × 2 Money pesa buda inanichemsha Ukiona umeanza kusota sana anza kusence danger Buda umesonona hujazoea pesa Nkucharaze na bunsen burna utulize kwa keja Ruka sepa Cheza na mpesa Ukiona umeomoka sana hujazoea pesa Chunga tabia za wamama zitakupoteza Unapenda kula nyama nyama wee ni noice maker Oona unatumia wi-fi za wenyewe Uwezi buy data juu buda umesoota Kila time nikucry cry Nione kando buda ata nikununulie sooda Huku mtaani wanasema umesoota Ukiulizwa nikwa nini unaboonda Life imekuchapa imeku-charaza Umekosa mpaka mbao Ya kulipa bodabodaaa Rule number 1 Sherehe ni sheria Buda sherehe kwetu must Mia mia tunajaa Rule number 2 Mkona mmoja ushike bia Ingine ishike kaglass Tuingie kwenye dance Hii weekend ninataka nijibambe Hii weekend ninataka nijipange Me with them stori mingi joh nikate Kamsupa kamnyweso mimi nijigange Mi ni sonko,nikona ganje Na siko soko,nikona manze Mamiondoko,nikona ange Kaodi kagwara kanyanga kistairo Juu I wanna do Spend my money ×3 spend Don't (touch my money × 3) touch × 2 -Subscribe,like,comment & share mpaka kaende viral-