Wanasiasa, ndugu na marafiki wajumuika katika Misa ya wafu ya June Moi

  • | K24 Video
    53 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameishutumu serikali kwa kile alichodai ni kutatizwa kwa demokrasia kufuatia madai ya ufisadi ya shilingi milioni 140 dhidi ya Mwangi Wa iria. Kalonzo amedai serikali inawakandamiza viongozi wa azimio kwa madhumuni yI kuwanyamazisha. Kalonzo alikuwa akizungumza katika misa ya wafu ya June Moi aliyekuwa binti wa hayati rais Daniel Moi.