
8,784 views
15 Jul 2024
Artist: Warning Bells Ministers Composer: Ondieki Douglas Instrumentals: Allan Odemba Audio: @sifatunestudios #sifatunestudios Video: @EnovartsProductionsKenya Social Media: Facebook and Instagram: The Warning Bells Ministers Tiktok: https://www.tiktok.com/@warningbellsministers?_t=8nDBoZyNPSn&_r=1 Lyrics. Miaka kumi katika huduma ni jambo la kusheherekea, mwanzo wake wengi walikata tamaa, tuliosalia migogoro katukaba koo baadhi yao kukwepa na hela za ibada. Subira haingevuta heri tena Ee Mungu kila tukio umekuwa nasi, Kwenye safari umekuwepo kila mara, na katika mianzo na miisho, Uliporuhusu majaribu kutukumba, machozi yetu yalikauka, tukalalama umetuacha. Mara hii Mungu twakuomba utukumbuke, tutie nguvu utembee nasi milele. Mungu atulinda katika shida matatizo tunayopitia, ameahidi atakuwa nasi kwa wakati wote.Tunaokataa wito wake anatusihi, turudi hudumani, Bwana wetu aita, Mwokozi yupo tayari kutupokea. To English Ten years in the ministry is worth celebrating. In the beginning, many lost hope, those of us who remained wrangled and faced great challenges, while some embezzled ministry offerings. Patience did not seem to bring us any blessings anymore. Oh God, you have been with us in every event. On the journey, you have been present every time, and in the beginnings and the ends. When you allowed trials to befall us, our tears dried up, and we lamented that you had abandoned us. This time, God, we ask you to remember us, strengthen us, and walk with us forever. God is our protector in the troubles and problems we face. He has promised to be with us always. To those who reject His call, He urges us to return to service. Our Lord is calling, and our Saviour is ready to receive us. #music #gospelmusic #love #sifatunestudios #worshipmusic